If u are given 800 million to Never have sex again in your life, will you accept or turn down the offer?
Send to your friends and get funny answers but reply to me first...
Wakati nikiwa katika shule ya msingi baadhi ya kauli za walimu darasani zilizokua zinaniudhi na kunikatisha tamaa ni zifuatazo:-
1. mkimaliza kuongea nambieni niendelee kufundisha.
2. baba yako...
wanadamu tumeumbwa kupenda au kupendwa binafsi enzi zangu nasoma shule ya sekondari kuna madamu "stella" nilikuwa namzimia sana ila woga tu ndo ulinitatiza,hebu niambie na wewe enzi zako ni...
Hii inahusu ule wakati demu majeshi yameshasalimu amri na tayari unaye chumbani kumnogoa, kuna maneno maneno mimi huyaita "the last words" ambayo mademu husema kabla ya mchezo kuanza. Haya hapa ni...
hellow mum Erotica, kwanza hongera na pole kwa kuwalea hao mapacha tumboni.
nawaomba wana chitchat tumsaidie kumchagulia majina ya twins wake. mi napendekeza majina haya. . .
1. patrick &...
Mara nyingi kitu chochote kitokapo nje ya nchi hutafsiriwa kuwa ni cha"KISASA" pale tu kiingiapo ndani ya Nchi kama vile maembe,kuku,na mengineyo mengi,sasa na hivi wanavyochukua kwetu na kupeleka...
Nyumba nyingine bwana kila ukizitimbelea fridge lina maji tu hakuna kinywaji kingine, sasa hilo fridge au sim-tanki? loh!! mniache sifugi samaki tumboni mie.
Kwa takribani wiki tatu sasa, na hii inakwenda ya nne kumekuwa na maajabu makubwa na ya kutukuka nchini Tanzania. Kwa uchunguzi mdogo sana uliofanyika umegundua yafuatayo:
Kumbi nyingi za...
Nakushukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine maishani mwangu, najua sikustahili kabisa ila kwa neema yako tu, kipekee nakushukuru kwa kuniwezesha kutimiza malengo yangu yote niliyojipangia kwa...
Wanajamvi habarini, nimekuwa nje ya mji kwa muda mrefu kidogo sasa huu ushamba wa kuja mjini usinifanye nikurupuke nikaumia imebidi nije kuwasilisha swali langu kwenu wenyeji.
Nahitaji kufahamu...
Wakuu,
Jana nilinunua chapati 2 za sh.600, lakini nilitoa elfu moja kwa mama muuzaji, cha ajabu hakunirudishia chenji yangu sh.400, akanidhulumu pesa yangu.
Lazima nikamshitaki kwa Pilato, jasho...
Raha ya jipu litumbuiwe toa usaha na damu chafu kisha paka dawa na kusafisha.Halafu unalifunga ili isipatikane upenyo wa kutoka damu tena mpaka linapona.Na kama yapo mengi linatummbuliwa moja...
Wadau,
Kumbe sio kila ukionacho unatakiwa kukitizama ukiwa unavuka barabara, muda huu nimesurika kugongwa na fuso la mchanga baada ya kuingia barabarani na kuanzaa kushangaa mdada mmoja aliekuwa...
Kama title inavyosema mwaka 2015 ndo unaisha hivyo
je kama mwana jf jukwaa gani limekufanya ulipende zaidi ya mengine na kwa sababu gani na pia limefanyia kitu gani cha tofauti katika maisha yako ?