Mirinda nyeusi inaniita.....
kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋...
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji...
Natafakari kwa kina hawa wachawi wangekuwepo. Ila kwa sasa hawa waliobaki nadhani ni wachawi ila hawatishi maana kuna watu bado majumbani wanalalamika kutokewa na wachawi usiku
In fact wanajeshi sio wanafiki Wala wanako kama police hatembei na watu wanafiki kama politician the guy he is so fucking smart
Nasubiria siku akija uapisho wa samia na vijana wake walio full armed
Hapa ni katika level zote 3 za elimu shule ya Msingi, sekondari na Kidato cha 5 na cha 6.
Mimi nakumbuka niliwahi kamatwa na simu kengele ikagongwa nikaipasua kwa mawe hadharani..
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje..
Hii marafiki, juu hapo...
Wakuu Karibuni Dodoma Ambako Kuna Bar, Lounge na Hotel NZuri Kwa ajili kula Gambe na Kuenjoy Pia.
Kuna Bar NZuri Kama Bambalaga, Pork Joint, Pestana Pub, New Royal Village.
Pia Kuna Malaika...
HONGERA wASIRA.......YUPO.......YUPO..........YUPO................YUPO......................YUPO......................YUPO
Steven wasira 80 YRS OF AGE...........................YUPO
Pia soma...
1. Kuwadanganya watu wa mwanza kuwa dagaa zao ni tamu kushinda dagaa Mchele wa pwani na dar na WA majichumvi huu unafiki nmeuvumilia mda MREFU sana kiukweli dagaa watamu ni wa 1. DAR, 2.MWANZA...
Bandugu!
Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu...
Habari zenu wakuu. Nipo maeneo ya Muheza town. Kama kuna mdau anayajua maeneo haya, anielekeze chocho moja matata ya kula raha. Si mbaya kama nikipata toto moja ya kitanga ikanikata huu msongo.
Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles...
Ilikuwa hivi, familia wapo sitting room wakiangalia DVD ya movie siku ya weekend sasa kuna sehemu flani ikafikia wahusika wakaanza kukiss huku wamelegeza macho huku akiendelea kumvua blausi...
Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa
Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata...
Mulokozi (Mhaya) kamaliza degree ya sheria UD, sasa karudi Bukoba akaanzisha kijiofisi chake.
Shughuli ikaanza hivi, kakaa kwa muda mrefu bila ya kupata customer kama zali vile, siku moja kijana...
They see you wet from the bathroom, they ask were you taking a bath
The answer : No I was sleeping.
They see you sleep yet they ask, are you sleep
The answer : No I'm in a coma.
Your...