Wadau hamjamboni nyote?
Watani mnahusika
Lete utani wenye kuudhi na kukera nami nitakujibu
Naanza mimi ninyi Waha kwenye treni ya sgr haiwafai endeleeni kutumia ya mkoloni
Habari....👋
Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi...
Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo
Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi...
Na kalaga baho
Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa...
Wadau
Hiki kilikuwa ni moja ya vipindi maarufu vya RTD hsawa kwa watoto hasa kwa watoto wa primary enzi hizo.
Watanzagaji wake nadhani alikuwa ni Debora Mwenda.
Kuna zile hadithi zilikuwa...
Aisee nimejikuta nampenda huyu member KENZY
Mfuatilieni .jamaa ana kitu apewe ulinzi
Mimi nimemjua Jana tu
Kama hajaoa naombeni mniweke pale ndugu zanguni.
Napenda kufurahi Mimi
Kenzy nitakucheki...
Mimi napenda Sana maandazi ya Moto,
Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe...
Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka
Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend...
Imetokea usiku wa kuamkia leo hiyo kitu, tena mara kadhaa. Kila nikilala kidogo namuona kapeace amefika tunazungumza, nikiamka hayupo! Nimeamka tangu saa kumi na moja kutafakari hili.
Nimemfuata...
Mke wangu kaunga haji huku chit chat..sasa nikija huku nakosa huduma ..sasa Nimeona niongeze mke wa huku chit chat tu...nakaribisha maombi now..nibebe mzigo..
Kwa upande wangu mimi siwezi kuamini marafiki tena coz nilishawai kupata matatizo but hakuna aliyenifarij hata mmoja.
So mimi huu mwaka siwez rudia kuamini rafiki au kumtegemea mtu yoyote
Wew...
Wakuu inafikirisha kidogo!
Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu.
Leo katika pitapita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.