JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu inafikirisha kidogo! Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu. Leo katika pitapita...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
22 Reactions
325 Replies
11K Views
Wakongwe wa Jamiiforum yupo wapi mwanadada machachari Lara1?
1 Reactions
1 Replies
260 Views
Wakuu. Nitakuwa Dodoma Kesho. Napenda kuogelea. Ni sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?
1 Reactions
10 Replies
935 Views
Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi...
23 Reactions
850 Replies
30K Views
January au Njaanwary haipo mbali, Leo ni ijumaa ya mwisho wa mwaka 2024 We safiri, chezea pesa, kesha bar ila mgeni katili anakuja soon 1. Ada ya shule ni January 2.Kodi za frem January 3. Kodi...
9 Reactions
86 Replies
3K Views
Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
4 Reactions
13 Replies
854 Views
My wife asked me, "How many women have you slept with?" I proudly replied, "Only you, Darling. With all the others I was awake."
1 Reactions
10 Replies
2K Views
🎇🎆🎇🎆 Heri ya mwaka mpya, Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2025 kwa uongozi wote wa JamiiForums na members wote wa JamiiForums mkawe na mafanikio mema 2025, Mungu awajazie pale palipo pungua...
12 Reactions
46 Replies
1K Views
Natafakari tu hapo Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa? Baada ya kulipa ada? Siku ya kuzaliwa CCM? Siku ya wajinga (1/4/2025) May Mosi? Embu wajuzi...
2 Reactions
1 Replies
280 Views
Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili, yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita. Nimeshangaa sana. Halafu mwenye hana...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Nilikuwa nausubiri sana huu mwaka 2025 coz ilikuwa Aprili niende abroad kwa masomo ya juu zaidi kwangu. Lakini leo nimepokea taarifa kwamba ufadhili wangu huo umesogezwa mbele ni mpaka mwakani...
5 Reactions
11 Replies
601 Views
Mshukuruni Mungu....enendeni 2025 na moyo mkunjufu. Mwenyezi Mungu akafanikishe kila mlipiganialo maishani. Mkawe na afya, mkastawi. Nawapenda sana.🤞
18 Reactions
53 Replies
1K Views
Habari. Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado...
17 Reactions
73 Replies
2K Views
Bila kushawishiwa na yeyote nimekaa nimeona imetosha Sasa. NAACHA RASMI POMBE ..Sigara niliacha zamani Sana.
16 Reactions
76 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu.Natumaini mmeuanza mwaka salama kwa baraka zake MUNGU mwenyezi. Nimeona sio mbaya niki share baadhinya nyimbo katika PLAYLIST yangu ya kila siku. Unaweza kuokota...
1 Reactions
1 Replies
296 Views
Tukiwa tunasubiri kuufikia mwaka mpya (2025), karibu hapa tupige story!
7 Reactions
281 Replies
6K Views
Unakuta joto kama hili hapa jijini Dar es Salaam Ila kuna watu wamekumbatiana mda huu wa usiku Are serious...
11 Reactions
167 Replies
4K Views
Me naanza 1. Xaxa, vp, p, xkul Hapo Huwa sijibu tena 2. Kuniita boss Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala 3 Ela za UNICEF umeziona Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi 4...
20 Reactions
68 Replies
3K Views
Back
Top Bottom