Kwa takriban wiki sasa nimekuwa siwaelewi kabisa watoto wangu Wapendwa wawili wa kiume Samora na wa kike Charlotte kwa maneno yao au kauli zao kwangu ambazo zinafanana.
Wote nawasomesha hapo IST...
Nimekuwa nikifuatilia post mbalimbali za member huyu Jf hasa jukwaa la Intelligence, amekuwa akipost elimu/uzi kuhusu mambo ya kiroho yaani vitu visivyoonekana. Hasa habari za majini nk.
Pia...
MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI
1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya
2. Nicolas-muongo
3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja
4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu
5...
Kuna mambo mawili yatakuhusu maishani
Ni ama wewe utazaliwa mwanaume
Au wewe utazaliwa mwanamke
Kama wewe utazaliwa mwanamke uko salama,
Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili...
Mwenyekiti Wa Serikali Za Mitaa
Jamaa alienda kwa Mwenyekiti wa serikali za mitaa kupeleka mashtaka yake,
JAMAA: Mke wangu hataki kunipa unyumba hebu ongea naye kabla sijafanya kitu kibaya...
Habari za Asubuhi! Kwa utamaduni wetu sisi waafrika,asubuhi kama hii baada ya kuamka salama na kumshukuru muumba,kupeana salam wengine hawana raha kama hii...nisiwachoshe we tupia salaam ya kwenu...
Kwakweli wote tuliompigia kura Magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.
Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Okay fine, its not igwee! Sawaaaa naomba isiwe mada hiyo, najua nimeiga......
Back to the point.....
Wakuu mimi natanguliza shukrani za dhati kwa wanaJF kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.