Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,981
- 45,903
Kwakweli wote tuliompigia kura Magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.
Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.
Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.
Ingawa sio rahisi kuwatambua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.
Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua majipu mengine hayapati nafasi kuturudisha tena nyuma.
Hongereni sana na taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.