Msaada: Baba mkwe ananiroga

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,599
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Okay fine, its not igwee! Sawaaaa naomba isiwe mada hiyo, najua nimeiga......

Back to the point.....

Wakuu mimi natanguliza shukrani za dhati kwa wanaJF kwa ushauri wenu mmeokuwa mkinipa tangu niingie rasmi JF. Mmekuwa sehemu ya mafanikio yangu niliyonayo.....

Mi nna tatizo na baba mkwe wangu. Of coz simpendi sana huyu mzee nilishawahi kugusia humu na yeye anajua hilo. Na ndo maana ameamua kuniroga...

Nilianza kumchukia huyu mzee siku ya kwanza tu nilipomuona. Yeye ndiye aliyeharibu sura ya mke wangu kipenzi. Lakini niliamua kusamehe hili.

Ugomvi wetu ulizidi nilipoenda kuwasalimia kwao na kukaa almost wiki mbili. Huyu mzee alikuwa kila siku ananilazimisha kuoga. Katika maongezi yetu niliwahi kumgusia kuwa mimi huwa sipendi kuoga. Its true. .yani nikioga najiskiaje sjui kama vitu vinanitekenya. Sasa katika story zetu nikamgusia huyu mzee. Sasa hili zee lilivyo pimbi, likawa linasubiria familia nzima tukiwa pamoja sebuleni ndo linajifanya kusema kwa sauti.

SASA BWANA WEWE SI UNAKWENDA KUOGA EEENH? KAOGE BWANA TUTOKE WOTE.

Ikabidi niwe naitikia tu huku najifanya nacheka cheka nikiwa nimemkazia jicho usoni, naye anajifanya hanioni...Nikazidisha chuki. Nikawa akiwa karibu yangu naweza kujifanya kama naanguka kisha namzibua bonge la ngumi nikijifanya najiokoa nisianguke.

Anyways, ni mengi yametokea kati yangu na huyu mzee. Sasa tangu siku moja nimtumie meseji ya kumtukana kisha nikajifanya nimekosea namba, mambo yangu yananiendea hovyo sana. Yani nimekuwa mtu wa majanga kila kukicha. Hapa huenda leo nikafukuzwa kazi.

Wiki iliyopita tulikuwa na mkutano kazini walikuja wageni toka nje. Ile naingia ukumbini nikateleza na kuangukia meza ya chakula nikamwaga kila kitu na kuvunja baadhi ya vyombo. Yani from nowhere tu. Mpaka sasa sijui ilikuwaje nikaanguka. Ikabidi waje watu wasafishe na chakula kikaahirishwa.

Ilipofika muda wangu wa presentation eti mafua yakanikaba yale ya kutiririka. Machozi yakawa yananitoka. Nikasimama kama dakika kumi nawaangalia tu watu. Nikajikaza nikaanza speech kwa kuwatolea watu baadhi ya vichekesho. Cha ajabu hakuna aliyekuwa anacheka zaidi yangu mimi tu. Tena nacheka hadi yale maputo ya mafua yananitoka. Boss akanionesha ishara ya kutoka nje.
Juzi nayo nimekuja kazini fresh nikaanza majukumu yangu. Nikawa nashangaa kila mtu ananiangalia mimi. Nikiwaangalia wanajikausha. Baadae nikaitwa na boss, cha ajabu nilivyoingia ofisini eti nikaenda kukaa kwenye kiti cha boss. Halafu hapo ndo nikagundua kumbe nipo kifua wazi na nimevaa bukta tu. Sasa mpk leo sielewi kama nilitoka home vile au ilikuwaje. Narudi home nakuta ujumbe wa baba mkwe eti kaandika.

NAKUSALIMIA TU. LOL

Huyu mzee mpashkuna sana. Eti ye pia anajua LOL.

Sasa hii ya leo ndo sielewi kama sitafukuzwa kazi. Leo nimefika kazini fresh nikamuuliza dada wa mapokezi kama nimevaa nguo. Hakunijibu.
Nimekaa ofisini nikafunga mlango coz leo nataka nimalize viporo vyote vya kazi. Nimekaa mpk saa tano, kila anayepiga hodi namwambia niko busy aje baadae.

Sasa ghafla akili inanijia kuwa eti kumbe muda wote huu nimejifungia chooni. Tena nimebeba PC ya director na baadhi ya mafaili yake nimejifungia nayo. Hapa hivi sasa nimepewa ruhusa nirudi nyumbani kupumzika ndo nipo njiani now. Hapa baba mkwe katuma tena ujumbe kama ule.

NAKUSALIMIA TU. LOL

Sasa hebu nishaurini wenzangu. Huyu mzee nimfanyeje?
 
Hadith yako nzur Ila jukwaa LA utani ndio inalihusu
 
Hivi vitu kweli vipo kwenye dunia hii
Br mshana njoo utupe ufafanuzi
 
wewe ni mwanaume kabisaa
 
Kuna tabia mbaya ndio, ila ya kumtumia msg makusudi kumtukana ulikosea sanaaaaa. Jishushe nenda kamuombe msamaha.

Unatabia mbaya sana inabidi ubadilike, au waache na sura zao.
 
Back
Top Bottom