Kuna mambo mawili yatakuhusu maishani

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Kuna mambo mawili yatakuhusu maishani

  1. Ni ama wewe utazaliwa mwanaume
  2. Au wewe utazaliwa mwanamke
Kama wewe utazaliwa mwanamke uko salama,
Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili yatakuhusu

  1. Aidha wewe utaajiriwa uraiani
  2. Au utaajiriwa jeshini
Kama wewe utaajiriwa uraiani uko salama,
Lakini kama wewe utaajiriwa jeshi kuna mambo mawili yatakuhusu

  1. Aidha wewe utafanya kazi za ofisini
  2. Au utafanya kazi za mstari wa mbele vitani
Kama wewe utafanya kazi ofosini uko salama,
Lakini kama wewe utafanya kazi mstari wa mbele vitani kuna mambo mawili yatakuhusu

  1. Aidha wewe utaua
  2. Au Utauawa
Kama utaua mtu uko salama,

Lakini kama utauawa kuna mambo mawili yatakuhusu

  1. Aidha mwili wako utazikwa
  2. Au mwili wako utatumika kama mbolea.
Kama mwili wako utazikwa uko salama,

Lakini kama mwili wako utatumika kama mbolea kuna mambo mawili yatakuhusu.

  1. Aidha wewe ni itatumika kwa kupanda maua
  2. Au utatumika kupanda miti.
Kama ilitumika kwa kupanda maua uko salama,

Lakini kama itatumika kwa kupanda miti kuna mambo mawili yatakuhusu.

  1. Ni ama zitatumika kutengeneza karatasi za kutumia chooni
  2. Au itatumika kutengenezea samani za ofisini na majumbani.
Kama zitatumika kutengeneza samani za ofisini na majumbani ni salama,

Lakini kama zitatumika kutengeneza karatasi za chooni kuna mambo mawili zitahusisha

  1. Aidha zitatumiwa na mwanaume
  2. Au zitatumiwa na mwanamke
Kama zitatumiwa na mwanaume ni salama,

Lakini kama zitatumiwa na mwanamke kuna mambo mawili yatakuhusu

  1. Aidha zitatumika kusafisha upande wa nyuma
  2. Au zitatumika kusafisha upande wa mbele
Kama zitatumika kwa nyuma uko salama

Lakini kama zitatumika kwa mbele malizia mwenyewe mambo mawili yatakayotekea…
 
Ungekuwa muungwana na msomi unayejitambua mwishoni unge acknowledge kwamba huyo ni Basket mouth
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom