Ashura9 JF-Expert Member Oct 21, 2012 740 485 Mar 15, 2016 #1 Hahaaaaa!! Ebu tazama hii video uvunje mbavu kidogo.. Ruksa kushea na wenzio.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 Mar 15, 2016 #2 Nimetazama, mbavu hazijavunjika
Ashura9 JF-Expert Member Oct 21, 2012 740 485 Mar 15, 2016 Thread starter #3 asigwa said: Nimetazama, mbavu hazijavunjika Click to expand... aaaah wewe una matatizo ; kama si ya misuli ya kucheka haifanyi kazi basi addrenalin yako haitoshi, kula zaidi nyama nyekundu
asigwa said: Nimetazama, mbavu hazijavunjika Click to expand... aaaah wewe una matatizo ; kama si ya misuli ya kucheka haifanyi kazi basi addrenalin yako haitoshi, kula zaidi nyama nyekundu
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 Mar 15, 2016 #4 Ashura9 said: aaaah wewe una matatizo ; kama si ya misuli ya kucheka haifanyi kazi basi addrenalin yako haitoshi, kula zaidi nyama nyekundu Click to expand... teh teh teh Labda nitakua nina stress za Magufuli kuninyima ukuu wa mkoa
Ashura9 said: aaaah wewe una matatizo ; kama si ya misuli ya kucheka haifanyi kazi basi addrenalin yako haitoshi, kula zaidi nyama nyekundu Click to expand... teh teh teh Labda nitakua nina stress za Magufuli kuninyima ukuu wa mkoa