goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 967
- 1,207
Mi nakumbukuka nilipokuwa jkt pale Ruvu niliwahi kutoroka siku moja wakati wa mchakamcha wa asubuhi mida ya saa 9 alfjr na kwenda kujificha migazini(kwa waliopitia Ruvu wanapafaham sana) ili niuchape usingizi, hii ni baada ya mahovyo ovyo ya usiku na maafande wakola. kumbe nimejisahau nikauchapa kweli kweli mpaka mida ya saa tatu asbh, hapo nimejifunika net ili mbu wasing'ate
Nilikuwa na mshkaj wangu ile tunarudi tu kombania si tukadakwa na maafande tukiwa na neti zetu kitu ambacho walishtukia, timbwili likaanza tuliruka uchura kuzunguka mahanga(mabweni) yetu yote
huku tumeshkana viuno ila bahati nzuri makuruti wengi walikuwa bado wapo fatiki
especially wale serengeti (girls)
Na pia kuna kuruti mmoja alikuwa mjuaji sana , nae akafumwa saa 12 asbh akitoka kuuchapa usingizi porini, alipoulizwa unatoka wapi et kajibu natoka kuanua shuka tena asubuhi, kila mmoja ilibidi acheke tu hata afande aliyemkamata aliishia kucheka.
Yote kwa yote sitawashahau maafande wakolawakola na wenye kiherehere hasa wale ma-servrce men, yani hao nawachukia mpaka leo. wamenitesa sana.
Siku ambayo niliifurahia na kuipenda kwa siku zote za depo ni ile siku ya kulenga shabaha(target), siku niliyotumia smg kwa vitendo nilifurahia sana siku hiyo
Ebu nawe tupe mainfo ya depo yako ilikuaje mdau