Teh huyu mama mkwe pasua kichwa

Valentina

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
24,685
28,769
MAMA MKWE HATARI ..
Mam Mkwe: Hallow mwanangu Hujambo?

Kijana: sijambo mama shkamoo...

Mam Mkwe: Marhaba mwng za huko?

Kijana: Huku safi tu Mama tupo fresh kiasi

Mam Mkwe: et eeh..!!! Hajambo bint yangu lkn? yuko wap mbona hapatikaniki kwny simu ?

Kijana: Yupo VETA

Mam Mkwe: vita?

Kijana: Veta... Veta Chuo Cha Ufundi.. nilimpeleka akaweke kichwa sawa kidogo kwa miaka miwili tu.

Mam Mkwe: Khaa!!! miaka miwili? Yote hiyo? kwani umeshamjaza kitu?

Kijana: Hahaha.. Mama bado hatuna mpango huo kwa sasa hatujakaa sawa.

Mam Mkwe:Hamjakaa sawa? Kwan nilikuozesha bint yangu ili umsomeshe au mjenge familia?

Kijana: Ni maswala tuliyokaa tukazungumza nae tukaafikiana akasome kwanza Akipata ujazito saiv atashindwa kusoma mama...

Mam Mkwe: Wewe usiwe mpumbavu... kwa hiyo ina maana hamkutani? mnaangaliana tu?

Kijana: Hapana tunakutana... Ushauri wa Doctor umetusaidia kuzuia.

Mam Mkwe: Yaan mnameza vidonge? hivi nyie mnaakili kweli? Huyo ni mkeo... unanicheleweshea wajukuu bure tu!! Fanya mambo haraka usiniletee uchovu wako hapa... au ww Una matatizo ya uzazi?

Kijana Hapana...

Mam Mkwe: kwanini unashangaashangaa kwani dada ako huyo..?

Kijana: hamna tatizo ntajitahd...

Mam Mkwe: Usiwe bwege... Subiri Wenzio wampe mimba we ubaki na ujinga wako... Na hizi mvua hawawezi muacha, shenzy umeniboa sanaaa
 
Back
Top Bottom