Kasugugu
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 214
- 98
Wakuu kuna hili suala la wanaume wa dar naona limeshika kasi sana, kwanza ifahamike kuwa dar ni kubwa na si vizuri kutuhukumu wanaume wote wa jiji hili maarufu Afrika mashariki na kati. Lengo la mada ni kuwajuza kuwa wanaume wengi mnaowa-refer kama wanaume wa DAR ni wanaume kutoka wilaya ya ILALA! Hivo bas ingependeza kama jina ILALA lingetumika badala ya DAR sababu kino na temeke tunaishi ki-mkoani mkoani na hizo tabia mnazotupa hatunazo