Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Hbr zenu wanajamii wenzangu.

Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.

Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba msamaha mume wangu mpenzi..

Nilikuwa namashaka na maamuzi YAKE pale anilipo nikatalia kusex kabla ya ndoa lkn kumbe dhamira YAKE kwangu ilikuwa njema sana.

Najisikia wa thamani na mwenye bahati kupata mume mwenye msimamo wa dhati hakika amenijengea imani naye kubwa sana.

Pili nashukuru wanajamii wote kwa ushauri wenu.

Wa ndugu hofu yangu kubwa ilikuwa ni pengine jamaa angekuwa hana uwezo wa nguvu za kiume, lakni imekuwatofauti sana na mawazo yangu.
Nashukuru nimepata mume anayejua wajibu wake wa kitandani vyema sana...wandugu ninaridhishwa kwa kiwango cha juu kbsa..

Mume wangu I'm sorry kukuwazia vibaya.

Ningependa pia kuchukua wasaa huu kuwatia moyo wanaotafuta wenzi Mungu awafanikishe na msikate tamaa. Mliokuwa mnangoja mrejesho hayo ndiyo yaliyojili..dushe lanitosha kbsa sihitaji zaidi.

Karibu kama kuna mwenye lolote.
 
Mara hii ushaolewa?
Juzi Juzi tu tumekushauri au kitu cha mkeka???
Just for fun napita tu na hongera sana
Zaman mtu akiolewa mpaka leo angekuwa bado analia. Saivi mpaka siku ya harusi mtu yupo jf. Hapo kwenye kufikisha ni matumaini yangu hautatuletea uzi mwingine ukilalamika hakufikishi kwa kilele.

Otherwise kila la kheri na karibu kwenye chama la ukweli lenye raha na karaha ambazo mwana FA bado hajazivulia nguo...
 
Zaman mtu akiolewa mpaka leo angekuwa bado analia. Saivi mpaka siku ya harusi mtu yupo jf. Hapo kwenye kufikisha ni matumaini yangu hautatuletea uzi mwingine ukilalamika hakufikishi kwa kilele.

Otherwise kila la kheri na karibu kwenye chama la ukweli lenye raha na karaha ambazo mwana FA bado hajazivulia nguo...
Usisahau kuwa zamani sio sasa..ingekuwa zamani bado ipo hata wewe usingekuwepo.

Asante nimekaribia na nimejiandaa kukabiliana na changamoto zote.
 
Hv, kweli kwa ajili zangu timamu nitoe siri za mume wangu????
Iwe anaweza au hawezi, it is and will remain my secret.
Nashindwa kukupongeza hata kama umeolewa,

Mhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Pole sana mama. Dunia imebadilika,, bayana tunaficha halafu ya siri ndo yanaanikwa.
Vivac mambo vipi
 
Back
Top Bottom