JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
But Why?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mimi rais Mithili ya Broo Magu, simpi shikamoo, nikiingia kwenye anga zake, kama ananitumbua potelea mbari. Naomba Mwenye picha ya mkurugenzi wa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akimwamukia...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
haya tuanze matusi... 1.kuifananisha leicester city na chelsea ni matusi kwa leicester city 2.kufananisha wanaume wa dar na wanaume wa mikoani ni matusi kwa wanaume wa dar.. 3.kuwafananisha...
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Habarini ndugu zangu was JF, Natumai mu wazima wa siha njema. Mimi ni kijana wa miaka 22,nina mpenzi ambaye tumedumu naye kwa takribani miaka miwili na ananipenda sana kwani mimi ndiye...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Eti walisema ukicheka unaongeza siku za kuishi na huondoa stress vile vile.... Hakuna ubishi kuna watu wana comment humu ukisoma utaishia kucheka na kufurahi mwenyewe... Hapa chini baadhi ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi jamn hii tamthilia mnaielewa kwl maana haiish nakumbuka toka nipo shule ya mcng toka 2000 had leo khaaaa hii tamthilia noma
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WASH'KAJI EEEEEEEH! NAULIZA KWA NIA NJEMA TU! HIVI HAWA WANA WA M'LE KWENYE 'VENYU' M'LE, YAANI HUYU KAKA'ETU "Wa kubadilisha sanamu ya askari" NA HUYU DADA'ETU "Wa Kuwa na uchungu hadi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Kuna habari nazisoma hapa hata siamini. Eti mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia. Daa roho inaniuma sana maana ndo kwanza nimempata laaziz wangu wa moyo. Sasa hata sijamshughulikia vizuri...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mshana jr Hivi ushawahi kuwa na mpenzi muongo mpaka akikwambia usiku mwema unatoka nje kuangalia kama ni usiku kweli? Arushaone
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna tabia ambayo wadada wengi wamekuwa nayo mda mrefu yaani mwanaume ukiwa huna hela halafu una umri mdogo unaonekana dogo na uwezi kuruka sarakasi zetu zile, ila ukiwa na hela bana unaonekana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nimewamisi sana baada ya kuchezea wiki,kila la heri
1 Reactions
1 Replies
662 Views
Nimeona wengi wakimpinga sana mbunge wa ulanga kuhusu pendekezo lake la kufuta historia (kumbukumbu) na badala yake tuweke International figure (Diamond) kama ni kutambua kazi na jitihada...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
On this special day, i wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Read this: If you are a man remember who you are! If you are a woman [emoji184] Respect every male in your life. U will never know what he has sacrificed 4U. [emoji779]A man is the most...
2 Reactions
5 Replies
934 Views
20 Most influential Jf members Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo...
10 Reactions
144 Replies
13K Views
Hbr za Leo wadau! Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili. Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba? Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
Waungwana naomba kujua ratiba na gharama za mabasi yanayosafiri kutoka Dar-rukwa moja kwa moja.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Dear ladyfurahia, Each year your birthday reminds me that I really want to say am very glad that I know you. A friend like you is a gift from God and hard to find. I hope you enjoy your birthday...
0 Reactions
10 Replies
789 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…