Eti walisema ukicheka unaongeza siku za kuishi na huondoa stress vile vile....
Hakuna ubishi kuna watu wana comment humu ukisoma utaishia kucheka na kufurahi mwenyewe...
Hapa chini baadhi ya comment za kuvunja mbavu humu jamiiforums...ongezea nyingine
"Wabongo wana akili kama za PAKA (Wanajisaidia kwenye Unga wakati wana njaa)
Mungu alisaidie Taifa."
"Ngale mbaya sana dah....ila kuna wadada nao siyo wastaarabu kabsaa, mmesimama anakuletea chura wote maksudi na huku anasikia kabsa kuwa injini ishawashwa"
"Miafrika ndio zetu........yani mradi una wiki na kitu unakuja kulaumu badala ya kupendekeza????"
"na huyo kibosile ambae ni mfadhili yuko wapi?hawa dawa yao wakalie chupa ya safari au serengeti kila siku kwa mwezi mmoja halafu ndio wanakula mvua ya 30 basi""
"Kati ya taasisi za umma zenye mchwa wengi na "wachapa kazi" wanaoweza kutafuna gogo zima la mpingo na kulimaliza ndani ya siku moja ni halmashauri.""
"Lowassa ni shida, jamaa kichwa, yaani alichofanya ni kuhakikisha waliomchafua wanamsafisha kwa dodoki, yaani walimwita fisadi sasa hawawezi tena kumuita fisadi."