TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,843
- 9,278
haya tuanze matusi...
1.kuifananisha leicester city na chelsea ni matusi kwa leicester city
2.kufananisha wanaume wa dar na wanaume wa mikoani ni matusi kwa wanaume wa dar..
3.kuwafananisha wakongwe wa jf na makapuku ni matusi kwa........
4.kuwafananisha diamond na kiba ni matusi kwa diamond
5.kufananisha gongo na bia ni matusi kwa bia
6.kumfananisha afande sele na jay z ni matusi kwa jay z
7.kumfananisha gigy money na nick minaj ni matusi kwa nick minaj
8.kufananisha somalia na afrika kusini ni matusi kwa somalia
9.kufananisha hummer h2 na noah ni matusi kwa hummer
10.kuifananisha jf na blog nyingine bongo ni matusi kwa jf
ongezeni matusi mengine