Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 294
Nimeona wengi wakimpinga sana mbunge wa ulanga kuhusu pendekezo lake la kufuta historia (kumbukumbu) na badala yake tuweke International figure (Diamond) kama ni kutambua kazi na jitihada anazofanya kulitangaza taifa kwa sasa.Nina heshimu mawazo yake japo uwasilishaji wake hoja haukuwa mzuri.Ni demokrasia pia nami naitumia hapa kuongelea nachokiamini
1: Hapa naona hoja ni kujenga historia mpya ya nchi. nje ya waasisi na wanasiasa kuna haja ya kuangalia revolution zingine katika nchi hii na kuandika upya historia kama filamu na muziki au sanaa kwa ujumla.
Hapa Tanzania tumekosa historia nzuri kitu ambacho
kinatughalimu sana kwa sasa.ukichunguza ndio sababu wachezaji wetu pia hawafiki mbali na wanamuziki pia wanakosa mwelekeo.yani siku zote na amini historia ni mtaji.
2:kuna haja ya kuboresha na kuendeleza historia ya nchi.kuna watu hadi sasa wanapambana sana kutuvusha hapa tulipo kama wanasiasa (mifano ipo mingi) ,wanamuziki na wachezaji wa mpira.kwanini hawa wasiingie katika historia ya nchi hii?
3: "Kila zama na kitabu chake" je tutaendelea kutumia kitabu cha kinjekitile gwale hadi lini? kwa nini hatuandiki kitabu cha kizazi kipya hata miaka ya 2200 waje wakisome waone mlolongo wa vizazi vyetu.
Hapa ndio sababu biblia ina uhai hadi leo kwa sababu waliithamini historia yao na kuifanyia kazi.hadi leo tunajifunza humo.
4:Historia ni mtaji wa mbadala wa mawazo na material things.nadhani historia za kina zinjan thropazi na ugunduzi wa moto(uwindi na uwimbombo) ndio zimetufikisha hapa tulipo.hata tanzania hii historia ya kizazi kipya ni mtaji kwa vizazi vijavyo na itawasaidia kukuza sanaa na siasa katika nchi.
mfano:Zanzibar historia yake ikiandikwa na ikiwekwa wazi hasa kisiasa.Wapiganaji watapata mbadala wa kutafuta suluhisho. Maalim seifu pia kuna chembechembe za historia zinamuumiza sana zanzibar ambazo serikari inatumia.Zanzibar haipaswi kuanza hata chembe ya historia hii ambayo inapitia kwa faida ya vizazi vijavyo.na sio iandikwe na cuf bali serikali
4: Tuthamini pia kizazi chetu na tunachokifanya.wapo wanaopuuzia haya yanayoendelea lakini ni thamani kubwa kwa taifa na vizazi vijavyo.
5: Tuache kushabikia na ikiwezeka tuache kutumia na badala kujifunza historia za nchi za kigeni ambazo ndio tumejaza notes za darasani.kuna baadhi zinahitajika lakini baadhi ni mzigo tunayowajazia wanafunzi.mambo ya kizazi kipya na kizazi yaendane na historia ya leo sio ya 1880.
Mbadala
Sawa kuna haja ya kuweka kumbukumbu za watu kama hawa katika taifa lakini je kwa njia ipi?
1: serikali itambue mchango wa mmoja mmoja wenye mafanikio mfano: diamond, kanumba,lowasa,maalim seif na zitto (sio lazima utilie mkazo ni mfano tu) na wawe wanasomwa shuleni na vyuoni kuendeleza michango yao na jitihada.
2: kuwe na special kitabu cha kuandika historia ndani ya miaka 25-30 kwa ajili ya matumizi ya kiserikali.hapa lengo kuondoa eti kila mtu aandike historia yake kwenye note yake au tuzo alizopewa.kitabu hiki kitumika mashuleni
3:kuangalia upande wa pili yani kuandia historia za upinzani na sio za watu wa serkalikalini tu.wapo wanaofanya vizuri kugombania demokrasia mf.zitto.
4:kutafuta njia ya kuenzi mawazo yao.
NAWASILISHA
by mtoto wa bibi