Kwa wanaofahamu tu

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,622
4,138
WASH'KAJI EEEEEEEH!

NAULIZA KWA NIA NJEMA TU!

HIVI HAWA WANA WA M'LE KWENYE 'VENYU' M'LE,

YAANI
HUYU KAKA'ETU
"Wa kubadilisha sanamu ya askari"
NA
HUYU DADA'ETU
"Wa Kuwa na uchungu hadi kutamani kulia"

HAWANA UNDUGU WOWOTE
HATA WA CHIMBUKO LA MABABU KATIKA UKOO HAWA??

TUJUZANE KWA ANAYEFAHAM'.

NI KWA NIA NJEMA TU!
 
Halafu yule dada yenu alie angua kilio... Kumbe kafoji vyeti bana!! Magazetini leo nimesikia.....
 
MAAJABU YA CV YA AGNESS MARWA.

Hii ndio CV ya mbunge Agness Marwa aliyesema kuwa anasikia uchungu sana bunge kuoneshwa Live. Akiwasilisha mchango wake bungeni alisema anasikia uchungu mno bunge kuoneshwa Live kiasi kwamba anatamani kulia. Hataki kabisa wananchi watizame bunge Live.

CV yake ina maajabu yafuatayo;

#AjabuNoMoja
Agness amesoma shule mbili za sekondari kwa wakati mmoja. Nyaibara Secondary na Kenton High school. Mwaka 2009 alifanya mtihani kama QT Nyaibara uliomuwezesha kufanya mtihani mwaka 2010 kama school candidate ambapo alifanikiwa kupata alama 32. Kipindi hichohicho kati ya 2008 hadi 2014 alikua Kenton high school ambapo alihitimu na kufanikiwa kupata alama za juu zaidi yani div.4 ya point 33.

#AjabuNoMbili
Agness amezaliwa mwaka 1978 lakini ameanza form one mwaka 2008 akiwa na miaka 31. Tena sio elimu ya watu wazima. Hasha.! Elimu ya kawaida ya kuvaa sketi na blauzi nyeupe na kuchapwa viboko. Kidumu chama cha mapinduzi.

#AjabuNoTatu
Agness akiwa form two mwaka 2009 alidahiliwa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kampasi ya Mlimani ambapo alipata fursa ya kusomea taaluma ya Teknolojia ya habari na mawasiliano kabla ya kurudi tena shuleni Kenton kuendelea kidato cha pili.

#AjabuNoNne
Agness amesoma Elimu ya sekondari miaka 6 akishindwa kufaulu licha ya kutokua na mchujo. Mwaka 2009 akiwa kidato cha pili mtihani wa mchujo wa form two ulifutwa kwa hiyo wanafunzi wote waliendelea na kidato cha 3 hata "waliofanya vibaya". Lakini Agness alishindwa hata "kufanya vibaya" ili aendelee kidato cha 3. Hivyo akarudia form two miaka mitatu mfululizo kabla ya kuruhusiwa kuendelea na form three mwaka 2013 baada ya walimu kuona anapoteza muda.

#AjabuNoTano
Akiwa kidato cha pili mwaka 2010 alikua Mkurugenzi Mtendaji (Managing Director) wa Kampuni ya Aggy Classic Interteimnent, na alikua akipewa tender kubwa za kuandaa matamasha ya Mwenge na sherehe mbalimbali za CCM.

#AjabuNoSita
Akiwa form one mwaka 2008 alikuwa Mwenyekiti wa chama cha watumiaji wa mazao ya ziwa Victoria Musoma (Seafood Union). Kwahiyo alikua anaregulate mazao yote ya ziwani. Yani ili Professor wa pale Buhare aweze kula samaki ilikua lazima Agness (mwanafunzi wa form one by then) atoe idhini. Yeye ndiye alikua na ithibati ya mazao yote ya ziwani kupitia Musoma SeaFood Union.

#AjabuNoSaba
Akiwa Form 2 mwaka 2007 tayari alikua Mkufunzi aliyebobea (Experienced Facilitator) wa masuala ya ujasiriamali kupitia Shirika la Nyang'oto. Hii inaonesha huyu dada ni 'genius' maana watu wanasomea degree za Enterprenuership vyuo vikuu miaka mitatu au zaidi, lakini yeye amekua mkufunzi mbobevu akiwa form one. CCM ni ileile.. oooh ni ileile.!

#AjabuNoNane
Kwa miaka 14 kutoka mwaka 1994 hadi 2008 Agness alikua nje ya mfumo rasmi wa Elimu akikijenga chama chake. Hakika CCM ina mikakati hodari..

#AjabuNoTisa
Akiwa kidato cha tatu mwaka 2013 Agness alichaguliwa kwa kishindo kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu taifa wa umoja wa wanawake wa CCM (UWT) na kuwabwaga maelfu ya wanawake wenzie walioomba nafasi hizo.

#AjabuNoKumi
Pamoja na yoooote hayo Agness ni Mbunge ktk Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chombo cha juu kabisa cha maamuzi katika nchi. Na anategemewa kutoa mawazo yake yalete maendeleo kwa wananchi. Duuh bado tuna safari ndefu sana. CCM Hoyeee.!!

#MyTake
Msimamo wangu tangu kale huwa siamini ktk elimu za "vyeti" lakini huyu kazidi. Japo siamini ktk Elimu za vyeti but this is too much aisee. Hivi Tanzania ya viwanda inawezekana kwa wabunge wa aina hii??

Nimesoma haya maajabu yake NIKASIKIA UCHUNGU, NIKATAMANI KULIA
 
Yaani nimetamani kukupa likes kama kumi hivi lakini haiwezekani.
Ridhika tu na hiyo moja!.....
 
Aibu aibu aibu aibu kavaa mavazi ila sasa yupo uchi.
 
Haya kweli ni maajabu kuliko maajabu yenyewe.
 
Back
Top Bottom