Usafiri wa Rukwa

Olumolongez

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
818
299
Waungwana naomba kujua ratiba na gharama za mabasi yanayosafiri kutoka Dar-rukwa moja kwa moja.
 
Dar Rukwa you mean sumbawanga? Kama ni sumbawanga kuna mabasi ya saibaba, majinja, na mbeya express..basi zuri ni majinja na angalau saibaba lkn mbeya express ni mabovu sana. Nauli ni kati ya 65000 na 60000
Mabasi yapo kila siku..na hufika sumbawanga saa sita usiku
 
Dar Rukwa you mean sumbawanga? Kama ni sumbawanga kuna mabasi ya saibaba, majinja, na mbeya express..basi zuri ni majinja na angalau saibaba lkn mbeya express ni mabovu sana. Nauli ni kati ya 65000 na 60000
Asante. Naweza kupata ratiba ya majinja kwa maana ya mda wa kuondoka Ubungo na kama lipo kila siku?
 
Dar Rukwa you mean sumbawanga? Kama ni sumbawanga kuna mabasi ya saibaba, majinja, na mbeya express..basi zuri ni majinja na angalau saibaba lkn mbeya express ni mabovu sana. Nauli ni kati ya 65000 na 60000
Mabasi yapo kila siku..na hufika sumbawanga saa sita usiku[/QUOTE

nauli ni 55000 mkuu
 
Back
Top Bottom