Nashindwa kuamua

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
309
Habarini ndugu zangu was JF,

Natumai mu wazima wa siha njema.

Mimi ni kijana wa miaka 22,nina mpenzi ambaye tumedumu naye kwa takribani miaka miwili na ananipenda sana kwani mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza kumtoa usichana wake.

Nilipanga nimuoe hapo baadae lakini siku baada ya siku upendo wangu kwake umepungua sana na imefikia kutokutamani kuongea nae kabisa.Kitu kilichosababisha ni yeye alivoamua kuutoa ujauzito wangu,japokuwa nilimkatalia katakata asifanye vile.

Anatamani niwe mumewe lakini naona kwangu inakuwa tatizo hasa nikikumbuka alichofanya!Nimeshindwa

Naombeni ushauri wenu,je mwanamke huyo anafaa kuoa?
 
Mwambie kuwa hukufurahishwa na moyo wako unakuwa mzito kila ukikumbuka

You can choose to understand n forgive. . Kuoa ni juu yako
 
Mkiambiwa acheni uzinzi kabla ya ndoa mnajifanya kichwa ngumu,kwani mlipanga kuzaa kabla ya ndoa? Umemtoa usichana halafu unataka kumuacha kweli unaona sawa?
 
Mwambie kuwa hukufurahishwa na moyo wako unakuwa mzito kila ukikumbuka

You can choose to understand n forgive. . Kuoa ni juu yako
Nahc ntakuwa sina amani hata nikimuoa,nikitoa kigezi hicho vingine yupo vzur ANAJARI
 
Mkiambiwa acheni uzinzi kabla ya ndoa mnajifanya kichwa ngumu,kwani mlipanga kuzaa kabla ya ndoa? Umemtoa usichana halafu unataka kumuacha kweli unaona sawa?
Ni kweli Kuwait lilikuwa kosa!Ila nlimshauri asitoe ningejitahidi kuhudumia lkn akagoma kabisaaaaa
 
mkuu kwanza mkatubu wote mpate ondoleo la dhambi ya uzinzi na uuaji ndipo nakusamehe adi kusahau itakuwa rahisi kwako,,,,,,,,, hapo swala la kutoa mimba mwenzio hata we unahusika Mnakatabia tu t¥tomb@n€ wala hutoshk mimba kumbe hola mwenziO anajijua hayup tyar kuwa mam ila unalazmsh matokeO ndo huw ivo na ndio maana damu hyo inawaandama mpak mtubu nyote,,,,.
 
Habarini ndugu zangu was Jf!
Natumai mu wazima wa siha njema.!
Mimi ni kijana wa miaka 22,Nina mpenzi ambaye tumedumu naye kwa takrbani miaka miwili na ananipenda sana kwani mm ndiye niliyekuwa wa kwanza kumtoa usichana wake.
Nilipanga nimuoe hapo baadae lakini siku baada ya siku upendo Wangu kwake umepungua sana na imefikia kutokutamani kuongea nae kabisa.
Kitu kilichosababisha ni yeye alivoamua kuutoa ujauzito wangu,japokuwa nilimkatalia Katakata asifanye vile!!
Anatamani niwe mumewe lakini naona kwangu inakuwa tatzo hasa nikikumbuka alichofanya!!NIMESHINDWA!!
Naombeni Ushauri wenu,he mwanamke huyo anafaa kuoa???
Kwa Umri huo wa miaka 22 sidhani kama umeshaanza kujitegemea. Nahisi binti alikuona bado unakaa kwa wazazi so akahisi atapata tabu sana katika kulea ujauzito . Kwa mtazamo wangu bora ujipange ili ufunge ndoa upate mtoto wa kwenye ndoa.
 
Si bora angesema hata mapema, ameniacha nimezama, kutoka sasa nashindwa nashindwa

Sasa nifanye nini
 
Unafanya kazi au unasoma? wakati unafanya ngono kwanini hukuchukua kinga? ulimshauri kua kitakachotokea kwenye dhambi hiyo mlio ifanya uko tayari kuchukua majukumu la sivyo ndio itakua mwisho wenu?
age yako ni just 22 nimdogo sana hata kuanza huo mchezo ulitakiwa uwe chuo unashindana na wenzio kwenye masomo sio ngono that too zembe kwanini kijana ujipendi jamani........
 
Tatizo siyo kutoa mimba, tatizo ni kuanza tendo la ndoa kabla ya kupata kibali cha kuwa mme na mke. Hilo unalosumbuka nalo sasa hivi ni matokeo tu. Na nikuhakikishie, mtaendelea kupata matokeo mengine mengi tu ambayo utaendelea kuyaona ni mabaya kumbe wabaya ni nyie wenyewe.
Nakushauri mkatubie hiyo dhambi na kuamua kuishi naye kama mke(japo uliwahi mno kuanza hayo mambo) au mtubie dhambi na muache mahusiano yasiyo na tija mbele za Mungu.
 
Nahc ntakuwa sina amani hata nikimuoa,nikitoa kigezi hicho vingine yupo vzur ANAJARI
Yaani wewe umemtoa usichana wake halafu umempa mimba nje ya ndoa halafu ukamwambia asitoe mimba hali yakuwa umezini nae na unajua matatizo gani aliyaogopa?,sihalalishi kutoa mimba ila kutomuoa ujue hutaishi kwa furaha hapa duniani na hakuna mwanamke utaishi nae kwa raha hapa duniani,fanya haraka umuoe huyo binti ULIOMUHARIBU,na uende Kanisani UKAUNGAME bila kukosa.
 
Tatizo siyo kutoa mimba, tatizo ni kuanza tendo la ndoa kabla ya kupata kibali cha kuwa mme na mke. Hilo unalosumbuka nalo sasa hivi ni matokeo tu. Na nikuhakikishie, mtaendelea kupata matokeo mengine mengi tu ambayo utaendelea kuyaona ni mabaya kumbe wabaya ni nyie wenyewe.
Nakushauri mkatubie hiyo dhambi na kuamua kuishi naye kama mke(japo uliwahi mno kuanza hayo mambo) au mtubie dhambi na muache mahusiano yasiyo na tija mbele za Mungu.
Ni kweli usiopingika lakini kikubwa klichonifanya ni kuzuia jambo La abortion in kubwa zaidi kiafya hata kisaikolojia kwangu na kwake pia!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom