tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,879
- 15,460
Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini cha ajabu utafanya juu chini upate namba yake ya simu ili umtongoze ukiwa huko mafichoni badala ya kupiga mistari live.bado naendelea na utafiti kujua chanzo cha hili tatizo..