JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku moja mama mmoja alitoka kazini akamkuta mume wake katulia na ypu makini sana anaangalia cheti cha ndoa na mzungumzo yalikuwa kama ifuatavyo: Mke:-Habari za jioni baba... Mume:-Nzuri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nafurahi kuwajulisheni nyote kwamba kuna vyuo kumi vimefunguliwa maeneo mbalimbali nchini, vikitoa kozi mbalimbali na kubeba majina ya watu maarufu kama ifuatavyo: Benjamin Mkapa Institute of...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wabongo tuna tabia fulani hivi ambazo sometimes huwa kero, kama vile; 1.Kuulizia bei vitu vya mwenzio, akikuta una simu ataanza umenunua sh.ngapi?, akija geto akikuta kitu atauliza..... ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya...sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
MKE NA MUME WAKIANGALIA MECHI YA ARSENAL NA CHELSEA: WIFE: Baby, yule ni nani? Ni Chris Brown?? HUSBAND: Yule ni Theo Walcott WIFE: ile Yellow Card ni ya nini? HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red...
11 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu ndugu zangu,natumai mko poa hatimae nimerud tena.[emoji2] [emoji2]
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Nidokezeni jamani. Nipo zangu Dodoma usiku wa leo. Kuna baridi fulani. Nikitaka kuchangamsha mwili niende wapi?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mmasai mmoja mwenyeji wa karatu, amepandishwa *Mwendo Kasi* akiwa na lengo la kufika Arusha, mmasai huyo aliyeonekana mkali sana akiwa eneo la Kimara baada ya kuambiwa watu kuwa basi letu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Leo kumekua na video ya msanii anaejulikana kwa jina la Yang dar es salaama akiwa kama kawehuka fulani hivi ndugu wanamshika kumpakaiza kwa bajaj sujui kumpeleka hospitali au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bei za sukari zimebaki juu... Tungekufa kwa kisukari... Magufuli oyeee
2 Reactions
7 Replies
729 Views
Habari wakuu, jamani ndugu yenu nipo ubungo terminal hapa, sasa natafuta gari za msanga ngongere hivi zinapatikana kweli kweli hapa??
2 Reactions
0 Replies
959 Views
Hawa watu wanaojiita et mim ni team kingkiba na team diamond au team bell 9. Mim siwaelewi bwana utawakuta wamekaa kubishana na kurushiana matusi ya ajabu kisa vipaji vya watu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwalimu, "James ungependa kuwa nani ukiwa mkubwa?" James, 'Napenda kuwa tajiri mkubwa, nimiliki magari na majumba ya kifahari, halafu nioe na kumpangishia mke wangu hoteli huko paris, nimnunulie...
0 Reactions
2 Replies
793 Views
wasalaam, wandugu watanzania wenzangu. Naomba waliopo mikoani wanijuze Bei ya Mashamba kwa heka Moja. Niwapi Ambapo Ardhi ni bei nafuu, nataka kuwekeza kwenye kilimo wandugu. Asanteni na Mungu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kumdanganya demu kazi rahisi sana. Dem. Baby unaeza kuongea kitaliano?? Mana unapenda kuangalia michezo yao af unafurahi kweli. Jamaa. Ee sana tu naweza ndio.. Dem. Eb ongea tuone. Jamaa...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wapendwa wa Jamii Forums ningependa tutambulishane tuko katika mahusiano gani na tuna watoto wangapi ili kuondoa utata kwa wale wanaovamiana PM na kukurupukia wake au waume za...
6 Reactions
121 Replies
10K Views
Nasikia MISIKITI na MAKANISA kuanza kulipiwa KODI YA MAJENGO. Kweli BABA JESCA alichaguliwa na MUNGU.[emoji13]
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa kaaga kwa mkewe Neema anaenda Songea kwa wiki nzima,kumbe kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake,.. siku ya kwanza akalala,asubuhi alipoamka akamua kuchungulia kwake kukoje,si...
10 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…