Mussa Tendeli
Member
- Jun 9, 2016
- 26
- 12
Hawa watu wanaojiita et mim ni team kingkiba na team diamond au team bell 9.
Mim siwaelewi bwana utawakuta wamekaa kubishana na kurushiana matusi ya ajabu kisa vipaji vya watu vinavyowaingizia wao vpiato na kuwanya wayafurahie maisha yao.
Sasa najiuliza huo ni upumbavu,ujinga,ulimbukeni,au ujanja?