Utambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa JamiiForums

Habari za wakati huu wapendwa wa Jamii Forums ningependa tutambulishane tuko katika mahusiano gani na tuna watoto wangapi ili kuondoa utata kwa wale wanaovamiana PM na kukurupukia wake au waume za watu bila kujua.

Binafsi Nina miaka 24 nimeoa na mnamo mwezi wa 7 natarajia kuitwa Baba !.
Mtaambiana hukooo pm
 
Mke wako Ana umri gan?
 
Back
Top Bottom