Ebu comment hapa!

WISE 2012

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
634
460
Mwalimu, "James ungependa kuwa nani ukiwa mkubwa?"

James, 'Napenda kuwa tajiri mkubwa, nimiliki magari na majumba ya kifahari, halafu nioe na kumpangishia mke wangu hoteli huko paris, nimnunulie magari ya kifahari na kumpeleka kila anapotaka"

Mwl, "mmmmh!!, haya" akageuka upande wa pili,
"eenhee na we Mary ungependa kuwa nani baadae?"

Mary "Nataka kuwa mke wa James"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom