Kumdanganya demu

WKawishe

Member
Jun 1, 2016
80
122
Kumdanganya demu kazi rahisi sana.

Dem. Baby unaeza kuongea kitaliano?? Mana unapenda kuangalia michezo yao af unafurahi kweli.

Jamaa. Ee sana tu naweza ndio..

Dem. Eb ongea tuone.

Jamaa.. Francessco totti ancelotti del piero maldin dinatale konte atletico.

Dem.. Waooooooow baby....maana yake????

Jamaa. Utabaki kua wa moyoni mwangu siku zote.

Dem. Ahsante baby nawew piaaaa
nakupenda sana.

Jamaa. Baloteli.

Dem... Mh...ndio nini tena...

Jamaa... Nakupenda pia.
 
Kweli wanawake wanahadaika kirahisi sana, hasa wale wanaopenda awe na boifredi mwenye usafiri, yaani wakati mwingine anamuona kabisa huyo boifrendi ana gari pembeni ina nembo ya VODACOM lakini akimwambia hili ni gari langu anamuamini na tena anaringia wenzio utamsikia: MWAYA BEBI WANGU SIKU HIZI AMENUNUA USAFIRI WAKE
 
Hahahahaha kwl kbsa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom