Shule mpya Bongo

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,015
11,993
Nafurahi kuwajulisheni nyote kwamba kuna vyuo kumi vimefunguliwa maeneo mbalimbali nchini, vikitoa kozi mbalimbali na kubeba majina ya watu maarufu kama ifuatavyo:

  • Benjamin Mkapa Institute of Political Entrepreneurship and Openness
  • David Balali School of Central Banking and Foreign Debt Management
  • Andrew Chenge College of Applied Contractual Law
  • Ali Hassan Mwinyi University of Inflation Control
  • Karamagi Institute of Mining Licensing and Administration of Mining Contracts
  • Zakia Meghji college of Tourism and Protection of Public Funds and Natural Resources
  • Ditopile Mzuzuri School of Conveyance and Welfare of Public Drivers
  • Mwalimu Nyerere University College of Privatization
  • Mkono Intitute of Legal Fraud Prevention
  • Lowassa School of Prevention of Fake Companies
Fomu za Kujiunga zinapatikana Bank M.


Nyote Mnakaribishwa
 

Shukuru

JF-Expert Member
Sep 3, 2007
748
14
dah dead line lini?

Nimepania sana kujiunga, tena si chini ya vyuo 6 at pa.
 

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,308
293
Chuo cha Dito kitanifaa...kuna makonda na madereva wa daladala wananizinguaga sana barabarani, najua nikiingia tu chuo lazima niandikwe magazetini > nitawapa somo!!

mkuu nipe details, form sh ngapi, na nikimaliza nitapata award gani? 1st Degree/Masters/ Phd etc?
 

Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,751
3,824
Nitajie sifa za mwombaji,mimi nataka nijiunge na chuo kikuu cha Lowasa haraka, tafadhali mkuu nipe na jina la mkuu wa chuo hicho.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom