PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,172
wasalaam, wandugu watanzania wenzangu. Naomba waliopo mikoani wanijuze Bei ya Mashamba kwa heka Moja.
Niwapi Ambapo Ardhi ni bei nafuu, nataka kuwekeza kwenye kilimo wandugu.
Asanteni na Mungu Awabariki Sana.
Niwapi Ambapo Ardhi ni bei nafuu, nataka kuwekeza kwenye kilimo wandugu.
Asanteni na Mungu Awabariki Sana.