Niende wapi Dodoma?

Tuyuku

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
3,292
1,923
Nidokezeni jamani. Nipo zangu Dodoma usiku wa leo. Kuna baridi fulani. Nikitaka kuchangamsha mwili niende wapi?
 
Kamata yule jamaa mwenye nguvu ukimmaliza na baridi kwisha.
Yaani wewe ndio unataka akabake watoto wadogo huyo jamaa,maana anaposema baridi anamaanisha ana ugwadu,halafu unamwambia akanywe Konyagi,hapo itakuwa kisanga,shauri yako utamponza.
 
Ndo nashangaa aisee!

watoto wadogo atawapata wapi usiku huu wote wamelala, wamebaki wakubwa wanarandaranda chamuhimu kibao kisimgeukie.
 
Nidokezeni jamani. Nipo zangu Dodoma usiku wa leo. Kuna baridi fulani. Nikitaka kuchangamsha mwili niende wapi?
Nenda matei nimetoka apo asaiv kutam kwell awo watu unao wataka wapo kibao
 
Pitia uhindini cda club ukitoka hapo nenda matei lounge ukimaliza nenda perugina shangilila kama hujapata huko kote wa uchaguzi wako (muhind msomali,chura,ndembendembe,kimodo)

Basi rudi kalale. Utakua na nyota chafu
 
hapo ulipo mwambie dereva bajaji akupitishe uhindini au chako ni chako au maisha club au master pub utajionea mwenyewe kitakachokukuta
Uko kote nimepita akulipi sana ila apo nimepita mda si mrefu nipazuri ashindwe yy to maana wapo chura wa kwenye matofari na chura wa kiansi kaz kwake
 
Tulia tu hotelini aangalie tv hadi ulale...usijitafutie mibalaa saahizi
 
Ahsanteni sana kwa michango yenu. Mrejesho ni kuwa, niliamua kulala zangu tu.
 
Back
Top Bottom