Msanii YOUNG D yamemkuta...

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
798
Habari wanajamvi?
Leo kumekua na video ya msanii anaejulikana kwa jina la Yang dar es salaama akiwa kama kawehuka fulani hivi ndugu wanamshika kumpakaiza kwa bajaj sujui kumpeleka hospitali au wapi!

Nilitaka kujua tu kama taarifa ya madawa anayotumia yamemuwehusha ni kweli?

My take
Kwakua mara kibao katika tv na radios amekua akikakusha kua hatumii ng'ada basi kama yaliotokea leo ni kweli ama hakika mdogo wangu kaumbuka,lakibi pia Serikali kwa nafasi yake ifike mahala impe sapoti "KALAPINA" katika kuboresha elimu anayotoa kupitia kipindi cha HARAKATI kinachorushwa na Clouds tv.
Nimesikitika sana kumuona Yang D akiwakawehuka na ama hakika Mola amnusuru kama kweli ile video inahusika na utumiaji wa madawa.
Nawaasa wanaotumia ebu wawe informers kwa polisi ili wawasanue hao.masadali wanaotuua kwa sembe brown na sukari nyeupe...
 
Hamna, alikuwa ana shoot wimbo wake mpya ambao unategemewa kuwa namba Trace, MTV Na vituo vyote vya Bongo.

Na kwa mara ya kwanza wamashoot kwa kutumia Simu ya kiganjani.


Stay tuned itazinduliwa hivi karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom