Mume na mke wapo kwenye ndoa ambayo hakuna mawasiliano ndani. Kila mtu anafanya lake. Lakini wenyewe bado wanajiita mke na mume wakiwa nje.
Siku moja mume alienda kanisa mke hakwenda. Aliporudi...
nilizaliwa kwa mama peke yangu na sikujua kuwa ningekutana na wenzangu,sasa akili ilichachamaa na hio ni baada ya kukutana na marafiki kadhaa ambao wengi tuliishi kwa mtaa huku tukibadili...
Kwako dada uliyekuwa unanunua vitabu mlimani city pale Nakumat, kama upo JF please ni-pm. Ulikuwa mbele yangu na we had a little chat about reading books. Please pm me kama upo humu JF.
Baba: Kijana wangu utaoa binti ambaye nitakuchagulia.
Dogo: HAPANA.
Baba: Nakuletea Binti wa Rais Kagame
Dogo: Basi huyo poa
Baba anapata nafasi ya kukutana na Kagame. Anamwambia "Kijana wangu...
Wadau,
Jana jioni tulipotoka job na washikaji tulikubaliana twende kwenye vichochoro vya upanga kupata moja moto moja baridi foleni ikiendelea kupungua, huku pia tukijadili kasi ya upasuaji...
Katika pitapita zangu za mizunguko yangu ya kila stendi nimefanya kautafiti fulani nikagundua kwa asilia kubwa ya wanaume hv ni kwa nini hua kwa mfano wakiwa wanatembea kwa miguu labda akatokea...
Katika pitapita zangu yaani sekondari na chuo nimekuja kugundua vijana wa arusha ni watu wa maringo sana na dharau nataka kujua wadau hili linasababishwa na nin
Hey, Nimekuja zanzibar na saa hii nipo hapa
kwenye hili Tamasha, ivyo member yeyote
ambae yupo kwenye hili tamasha la filamu
hapa zanzibar hebu tuchekiane hata kwa PM
Jamaa alikuwa ana tabia ya kukojoa kitandani baadhi ya siku.
Akafikia kuoa. Katika ya siku za mwanzo baada ya harusi, siku moja kama kawaida yake alijikojolea.
Akapiga kelele “Mungu wangu eee”...
kabla nisahau, let me share vile eid yangu ilikua kule mkoani.
hii ni jana after amina kunitumia 'please call me"
sir.Mokoyo akiwa amepiga appetizer ya ugali. hapa anangoja biriani
cousin...
Muwe makini:Kwenye chuo kimoja cha kitabibu prof aliwaingiza wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambia sifa ya udaktari ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini. Akaingiza kidole kwenye...
Mwalimu aliingia darasani akauliza, "Kwanini mapenzi yana nguvu kuliko vita?"
MWANAFUNZI akajibu,"kwasababu CONDOM bei nafuu kuliko Bunduki..." [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...