zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
Mume na mke wapo kwenye ndoa ambayo hakuna mawasiliano ndani. Kila mtu anafanya lake. Lakini wenyewe bado wanajiita mke na mume wakiwa nje.
Siku moja mume alienda kanisa mke hakwenda. Aliporudi akamkuta mkewe anaangalia kipind Fulani kwenye TV.
Akamnyakua akimbeba juu juu mkewe, akianza kuzunguka nae sebule jikon.
Mke akashangaa sana hilo tukio, akamuacha mumewe afanye atakalo. Baada ya dk kadhaa zoezi likakoma.
Mk: mume wangu leo maajabu, umepatwa na nini hadi ukanibeba?!!!!
Mume: Padre akatuambia tukirudi majumbani kwetu tunyanyue misalaba yetu juu ili MUNGU atusaidie....!
Baada ya kauli hiyo ya mume sikujua kilichoendelea