barakachaplin
Senior Member
- Jan 24, 2014
- 116
- 52
Muwe makini:Kwenye chuo kimoja cha kitabibu prof aliwaingiza wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambia sifa ya udaktari ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini. Akaingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa kwa maiti mmoja kisha akalamba halafu akawaambia wote wafanye hivyo, na wote wakafanya akawaambia"zoezi la kutokuwa na kinyaa mmefaulu ila kutokuwa makini mmefeli, mimi niliinginza kidolecha kati lakini nikalamba kidole cha pili toka gumba...".Nasikia Prof alizikwa kabla ya ile maiti