wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Katika pitapita zangu za mizunguko yangu ya kila stendi nimefanya kautafiti fulani nikagundua kwa asilia kubwa ya wanaume hv ni kwa nini hua kwa mfano wakiwa wanatembea kwa miguu labda akatokea mmoja akaingia chaka kujisaidia haja ndogo hapo hapo na mwingine nae atajisaidia hata kama alijuwa hana haja! Na hapo hapo utafiti ukaendelea kila anaekojoa lazma atee hapo mate! Hivi hii hua ni tabia.. au mazoea.. au ni hulka ya mtuu!!naombeni kujuzwa wakuu hv huwa inakuwaje hapo!!nawasilisha