Unapojiona upo kwenye faragha chooni unajikakamua gogo litoke mpaka macho yanakutoka kamq baunsa la amadou amadou ujue hauko peke yako unakuwa na mwenyeji wako.
Wakuu
Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?
Ndugu marais hamjambo (kwa lafudhi ya kihaya), naona wengi wenu mnashida sana, mfano we Trump hutulii kabisa, nimeamua kukupa msaada wa dhahabu tani 1 bure, Tanzania ni Tajiri hatuna njaa.
Halafu...
Hayo sio maneno yangu, bali ni maneno ya Vodacom Mpesa, wakinijulisha kuhusu muamala nilio ufanya asubuhi ya leo.
Miaka kadhaa iliyo pita hela hii ningeiweka kwenye akaunti ya Mr. Muggetta in the...
Tuseme ukweli, walevi wana kipaji cha hali ya juu cha ubunifu. Wakati sisi wengine tunahangaika kutafuta sababu za maana za kufanya maamuzi maishani, wao hawana muda wa mawazo magumu—maisha ni...
Habari wakuu Leo nmemkuta mdada dukani anaongea na simu nikashtuka mno
Huwa simuamini anavaa bangili za kiganga nyeusi mkono wa kushoto hujitanda shungi
Leo jioni naenda kununua kitu dukani kwa...
Jamani, humu JF mie nafurahishwa na mambo mengi. As we are approaching weekend hebu pitia some of ID's! Yaani Loh!
Angalia hizi wehoodie, giLESi, @St Paka Mweusi (yaani Mtakatifu Paka Mweusi?)...
Jana jioni nilikuwa napitia makabrasha yangu, nikakutana fomu moja ya mahudhurio ambayo ilinikumbusha na kunirudisha nyuma kidogo mwaka 2018. Baada ya kuvuta kumbukumbu nikaishia kutabasamu tu...
Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo...
Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu.
Kuna sehemu...
Huyu ndiyo Ibn Unuq aliyeshikilia maajabu yake kihistoria kwa miongo kadhaa mpaka akaingia kwenye viumbe wa kale wa ajabu.
#1 Aliwahi kuikimbiza radi mpaka ikachoka na kuomba mapumziko.
#3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.