JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna namna unaishi inapelekea wale wajomba wanaokaa vijiweni na kwenye gahawa wanaanza kukujadili hadi kuja na conclusion kuwa wewe ni usalama wa taifa kumbe kijana wa watu hata bastola haujai...
2 Reactions
8 Replies
550 Views
Weka neno moja kwa Kaka mkubwa katika miaka yake 10 ya ndoa! Hajawahi kumpiga mke wake, na amekuwa akifanya kazi zote za nyumbani.
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Mwenye picture ya hiyo blowjob aiweke hapa
0 Reactions
2 Replies
303 Views
MIMI👇 1. Kutemea mate pale nilipokojolea 2. ..........
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Nikiwa chuo mwaka wa pili hii siku ilikuwa ni siku ya game ya UEFA (UCL knock out stage) kati Liverpool na team flani siikumbuki. Kawaida yangu game kama hizi mara nyingi nilikua naangalizia...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
1.Mwajuma ndala ndefu 2.simba mzee 3. uwauwa 4.saidia masela 5.voda fasta endeleza.....
1 Reactions
58 Replies
12K Views
Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
0 Reactions
18 Replies
779 Views
Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani bado nchi hii ina ardhi kubwa sana tena yenye rutuba na fursa nyingine nyingi 1. Unaamka saa kumi kuwahi Gari 2. Unafika kwako saa nne usiku na...
27 Reactions
70 Replies
2K Views
Alinitext kwa kiswahili nikampeleka kwenye hiyo lugha ya mama, heheheee mwamba kumbe hajui kutema yai 😂😂
11 Reactions
81 Replies
2K Views
MASIHARA! Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo. Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!
13 Reactions
148 Replies
5K Views
Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara. Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm...
5 Reactions
11 Replies
565 Views
Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..? Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan. Funguka Mkuu..!
4 Reactions
165 Replies
7K Views
Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji...
2 Reactions
10 Replies
457 Views
Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo. Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Mwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Naona kwenye movie zao wazungu unaingia ofisini kwa boss kabla hamjaanza maongezi unashangaa anafungua kabati anatoka na ka whisky au ka wine una pewa toti mbili glass nusu ili kulegeza kidogo...
1 Reactions
10 Replies
527 Views
Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na...
18 Reactions
63 Replies
2K Views
Happy doctor’s day to all the doctors hapa Tanzania na duniani kote tunaheshimu mchango wenu katika huduma ya afya na maisha yetu ya kila siku. Happy doctor’s day once again.
2 Reactions
13 Replies
861 Views
Back
Top Bottom