Zuzu alioa mke mwerevu sana. Mara baada ya miezi minne na nusu mke aka zaa. Zuzu akazusha kweli:
Mume: Nitakupa talaka uende kwenu. Utazaaje mtoto baada ya miezi minne na nusu. Kwani ni kuku wa...
Kwenye zizi la Ng'ombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike.
Akamuuliza dokta wa mifuko "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku?"
Dokta akajibu "kwa wastani mara sita kwa siku "
Mke...
1:Hapo zamani nilikuwa nikinunuliwa ndala mpya siziwai hadi nioge
2:hapo zamani nakumbuka kuna siku mama katoka kujifungua nikamwuliza mtoto umemtoa wapi jibu alonipa kajibu katoka kumnunua...
Wazee wa kitovu cha nchi bado mtajinyonga na Dar yenu? Au mtawafuata Magufuli na Majaliwa huku Dodoma?
Karibuni Dodoma Makao Makuu ya Chama na Serikali!!!
mcheza kamali akiliwa hata milion 1 akipewa 2000 ktk ile hela aliyo liwa huwa anafurahi sana.
na mcheza kamali kwa siku moja anaweza akala magali mawili lakini nayeye vyote kesho analiwa vyote...
angalia jina lako alilo lisave kwenye simu yake.
jana nilikua naangalia majina ya simu ya dada mmoja niliyakutana na majina ya ajabu sana.
na akaniambia yeye huwa anaandika jina la mtu kutokana...
Mzungu: Unajua kuogelea?
Mbongo: Hapana!
Mzungu: Basi Mbwa ni Bora kuliko wewe! anajua kuogelea!
Mbongo: Kwani we Unajua Kuogelea?
Mzungu: Ndio!!
Mbongo: Sasa tofauti yako na Mbwa iko wapi?
Hbr wanajf hasa wa jukwaa hili!
Niende kwenye mada husika, leo asubuhi nikiwa naendesha gari nikitokea mlima city kuelekea sinza madukani kupitia makaburini, nilipofika maeneo ya makaburini...
Hey, Nimekuja zanzibar na saa hii nipo hapa kwenye hili Tamasha, ivyo member yeyote ambae yupo kwenye hili tamasha la filamu hapa zanzibar hebu tuchekiane hata kwa PM
Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka chakula
kwenye jalala mara ikapita Land Rover ya
FFU na ndani yake kuna mbwa wa Polisi;
Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu
kisha akamwambia mwenzie...
A Japanese ship is on route back to the shore from the Atlantic Ocean. Seeking the silent waves, the captain decides to take a shower. He keeps his Rolex and diamond studded gold bracelet on the...
[emoji835]_*Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kwenye Hospitali ya Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali...
Siku nilipogundua bangi sio mchicha ni pale ambapo nilitoka ndani kwenda kutoa pesa kwa M-pesa nikiwa na remote ya TV,nikaacha simu ndani...
Nilipofika kibanda cha M-pesa na remote ya TV mzee...
kabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.