Am proud when my ex-galfrnds get married, it shows that my relationship academy is doing extremely well coz it produces women that can be wives.
Anyway for those interested september intake is in...
Huu uzi kwa wadada wa jf tunataka kuvunja mabishano ya nani zaidi kati ya Wanaume wa Dar na Mikoani. Wadada ukiambiwa uchague kati ya mwnaume wa Dar na Mikoani yupi utachagua kwanza?
Pia Wanaume...
Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye muda mrefu sana na nilikuwa na malengo ya kumuoa kati ya mwakani au mwaka unaofwata ila kuna tatizo limenitokea muda huu hapa na hilo tatizo ndo limenifanya...
leo ni siku ambayo nimekutana na rafiki yangu kipenzi. Basi akaamua kunipeleka viwanja fulan hapa dar!
Nikamwona rafiki yangu akiagiza bakuri mbili za supu! zikaletwa, kuzichek nikakuta ni supu...
Injinia aliulizwa kuna tofauti gani ya kiufundi kati ya welding (kuchomelea) na wedding (harusi)??
Akajibu.
sio kubwa zote ni viungo(joint) ila katika welding kuna cheche kwanza halafu ndo...
Jamaa alikuwa kanisani,jirani yake akamnong'oneza "kwa uwezo wa Mungu leo utatembea".....jamaa akafikiriaaaa "mbona sina ulemavu wa miguu?" Lakini akaona hamna noma,labda Mungu anataka kufanya...
Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu?
Mama: Babaako mwenyewe hajafikia...
Wana jamvi mimi mwenzenu same time hua nakaaa najiuliza maswali nikiona sipati jibu ndo nawashirikisha kwa kupata ufafanuzi zaidi maana naaminigi sana j.f. kuna zaidi ya vichwa!!
Swali lenyewe ni...
Wakuu karbuni katka thread hii ya kibabe, thread ya kuwachana wote wanaozingua.. tuwe wakweli Na ujumbe uwafikie wanao husika..!!
Mm nianze Na hawa mastaa wabongo wanao jifanya wanajua kizungu...
Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize.
Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku?
Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimu...
Mlevi wa kutupwa yuko chakari na mkewe kitandani anastarehe kwa kumtomasa mkewe matiti.
MLEVI: Mke wangu mbona maziwa yako makubwa sana leo?
MKEWE: We nawe na mipombe yako!,unashika matako unasema...
*MAJINA YA GIRLS NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI*
1.Nancy - Muongo
2.Julieth - Kicheche
3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu
4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza
5.Hellen - Ana...
Leo jamaa akaniambia twende sehemu tulivu kupata chochote! kwa sababu tuliekuwa nae tumepoteana kitambooo!
Leo tulivo kutana akanipeleka viwanja fulan hapa dar. kumbe sehemu hiyo si wanapika...
1 kuwa mcheshi kwake
2 uwe mtu unaemjali mchukulie kama dada au
mdogoako
3 akigombezwa kuwa wakwanzza kumtetea,
wakemee wadogo zako na ndugu wakileta dharau kwake
4 mshirikishe kwenye mambo yako...
karibuni sana katika forum hii, members wa forum hii hatufungamani na upande wowote. Uwe wa zamani au wa juzijuzi unakaribishwa.
kadarkhani236
slim beauty
paka chongo
kiraka popote
Man Eric...
Asalaam aleikum wadau wa Jukwaa hili na Jamii Forums kwa ujumla...
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehma zake kwa kuniwezesha kuuona mwaka mwingine.
Namshukuru Mzazi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.