JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu ni siku nyingine tena iliyotulivu na rasharasha za mvua hapa na pale!! Wakuu leo asubuhi huku kitaa kuna mvua ilinyesha kidogo!! Sasa wakati miminaelejea zangu stendi ikawa kuna bodaboda...
2 Reactions
2 Replies
955 Views
"Hakuna dhambi mpya zote zilishafanywa. Sisi sasa tunagandamizia tu."
0 Reactions
8 Replies
869 Views
Wakuu poleni na shamrashamra za asbh!!vile vile tumshukuru mungu alietuamsha salama!! Kama mtakumbuka kuna siku humu kuliletwa tread inayosema!! "Badili mkao wa chumbani kwako" Sasa wakuu...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Usingizi umepaa kabisa, kwa aliyepo hewani tupeane company.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jaman haya n baadhi ya majina ya sehem flani hapa Tanzania Kama naww unayo mengne weka Ili tusaidiane kushangaa 1.Kekombyo 2.Karukekele 3.masinono 4.ryamugasire 5.kangetutya 6.nyasaunga...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
1.Ni Tanzania pekee ambapo mtumishi wa chini wa serikali anae pokea mshahara wa milioni 1 kwa mwezi anatembelea gari la milioni 380 (Toyota Laind Cruzer V8) 2!. Nitanzania pekee mwanafunzi...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Dogo mmoja alimwuliza mama yake swali ambalo lilikuwa linamsumbua sana kutokana na mazingira ya geti kali kuwa magumu sana kwa dogo. Dogo: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitakuwa mkubwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tulizoea Kuona michango yao ndani ya jf lakn kwa kwa kipindi kirefu sijawaona kwa yeyote mwenye taarifa zao sio mbaya tukajuzana.. Watu 8, The secretary, christine ibrahim, miss strong, CYBERTEQ...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Kujitambua ni hatua ya muhimu katika maisha ya mtu yoyote duniani na ni hatua ambayo hakuna mwanadamu anaeweza kufika hatima ya maisha yake kwa ubora na matarajio bila kuipita. Kujitambua ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Baba na mama ngoma droo
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tupeane uzoefu kwa wale ambao tayari wamesha do,na wale ambao bado watuambie wana picha gani juu ya tendon hili nyeti
0 Reactions
69 Replies
11K Views
Njia za kujua kama umri umekwenda:[emoji12] [emoji12] [emoji12] 1. Ikiwa unafikiri ya kwamba 208 ni mia mbili na nane, bac jua umri umekwenda. Hiyo ni TUONANE 2. Kama unadhani 10Q ni kumiQ...
9 Reactions
23 Replies
4K Views
MAZUNGUMZO YA WALIOACHANA KWENYE SIMU Mume: nisamehe, naomba turudiane mke wangu Mke: una kikombe hapo? Mume: no! kwanini? Mke: kachukue kikombe jikoni Mume: sawa, nishaenda chukua, sema! Mke...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Mchungaji katika mahubiri yake akasema...kama ningekuwa na uwezo..bia zote ningezitupa mtoni,akazidi kuongeza na konyagi zote ningezitupa mtoni,hakuishia hapo akasema hata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JAMAA aliingia mgahawani na kuagiza wali kuku, sikia ilivyokuwa; Mhudumu: Tukuhudumie nini? Jamaa: Niletee wali kuku, weka na pilipili. (baada ya kuletewa) Jamaa: Oya, mbona huyu kuku ana mguu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu poleni na weak and Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana!! Yaani ni mtu wangu wakaribu sana kiasi kwamba chake changu na changu chake! Sasa wakati leo naelekea zangu stendi gafla nikakutana...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
pitia hapa mdau
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Shukran kwa JF ' saizi maisha yangu yamechange in 3days ' ule mganga ni moto kama pasi ... budangu ashakoma mimi ndiye kingi wake ...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Al-Ijumaa ndo hiyoo inaikaribisha al- juma- mosy kama huna mana eleka mawe. Nikiwa kwenye kingo za bahari nimeimbiwa hivi na dadii.................. I wanna love you and treat you right; I wanna...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Back
Top Bottom