wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
1:Hapo zamani nilikuwa nikinunuliwa ndala mpya siziwai hadi nioge
2:hapo zamani nakumbuka kuna siku mama katoka kujifungua nikamwuliza mtoto umemtoa wapi jibu alonipa kajibu katoka kumnunua hospital
3: hapo zamani tulikuwa tukicheza mpita barabarani ndala ndo magoli...
4: hapo zamani tulikuwa tukicheza mpira tunapiga dochi bila hata kuumia
5:hapo zamani kulikuwepo na vitabu vyenye hadidhi nzuri za kusisimua na kufundisha kama!!!
Sizitaki mbichi hizi!!
Kibanga ampiga mkoloni
Sadiki na fikiri
Tola anakula gizani
Sikielewi uitwangwa nani
Simba na asali!!
hapo zaman wewe unakumbuka nini!