Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mzungu: Unajua kuogelea?
Mbongo: Hapana!
Mzungu: Basi Mbwa ni Bora kuliko wewe! anajua kuogelea!
Mbongo: Kwani we Unajua Kuogelea?
Mzungu: Ndio!!
Mbongo: Sasa tofauti yako na Mbwa iko wapi?
Mbongo: Hapana!
Mzungu: Basi Mbwa ni Bora kuliko wewe! anajua kuogelea!
Mbongo: Kwani we Unajua Kuogelea?
Mzungu: Ndio!!
Mbongo: Sasa tofauti yako na Mbwa iko wapi?