Thanks Lord..........nmeona na nimefika 2017.
Ni mwendo wa kutimiza malengoooooooooo tuu
Huu mwaka lazima nami nipate,i swear.
Eh Mungu kaa upande wangu.
by me 01 Jan 2017.
*A teacher was teaching words and their opposite then he told Mutabazi to stand up and give answers !*
Teacher: What is the opposite of good
Mutabazi : Bad
Teacher: Come
Mutabazi : Go...
Niwaalike wana MMU wooooote kumtakia heri ya kuzaliwa binti/mama dinazarde.
Mimi nasindikiza wishes zangu na beti hii moja ya shairi kama ifuatavyo.
Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa,
Ni siku...
Bwana Yesu kristo asifiwe Sana wapendwa katika Bwana.
Ninafuraha kubwa kumshukuru Mungu kwa yote natumaini Mungu mwema ametufikisha leo Trh. 31 tukiwa na pumzi. Wapo wengi tulianza nao lakini...
wanawake wameniumiza sana tokea shule ya msingi..
sit0sahau siku mwanamke wangu alip0niacha na kwenda kwa jamaa mwenye KICH0NGEO KIPYA
niliumia sana
.
.
#g0odluck_mchika
Hv unapokuja na mdada for a date kwann uagize maji?
Anyway sielewi.. Nimetoka kazini nikakaa mahali alon nishtue koo kidogo akaingia mkaka na mdada wanaonekana wapenzi..dada ameagiza chupa ya...
Woouh...!! Dada kanifanyia "SUPRISE" kwa kuniletea bia BALIMI yenye ujazo 500 ml na 5.8 alc........nikiwa Dsm......
Hii ni bonge la ***a toka kule kanda ya ziwa.....bei 1500 ....kwa heri safari...
MSHINDANI 1: (Kala ugali kwa picha ya samaki.)
MSHINDANI 2: (Kala ugali kwa maji ya kunywa)
MSHINDANI 3: (Kala ugali kwa harufu ya mboga ya mtaa wa pili.)
MSHINDANI 4: (Kala ugali kwa kuvuta hisia...