Miss Natafuta JF-Expert Member Sep 16, 2015 26,584 48,743 Dec 31, 2016 #3 kwa kweli sikumuomba mungu ndoa mwaka 2016 nisije nikakufuru bure .namshukuru kwa yote alionijalia
S St Lunatics JF-Expert Member Aug 29, 2015 6,644 11,167 Dec 31, 2016 #5 Watu wengine wanawaza kuongeza kipato wengine wanawaza kuowa. Kweli akili hazifanani Ndukiiiii