Aliepoteza pochi hii anitafute

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Mtu aliepoteza pochi hii tafadhali ntafute, sitaki usherekee sikukuu hii vibaya,nami nimeona si vema niingie mwaka mpya na dhambi
d378ed8d1950f389e7de7c7adb4472a8.jpg
 
Dah mungu akubariki ,sana niliidondosha wakati naendesha pikipiki,Sasa chukua elfu kumi hapo,nyingine nitakupa maelekezo
 
Umechelewa mkuu...nilisikia bwana mmoja wa kipemba akitangaza toka juzi lirudishwe kabla hajafanya yake..keshafanya tayari
 
Kanyaboya. Zimefungwa elfu 2 mbili na kuzungushiwa elfu 10.Kwa hiyo sio nyingi sana kama unavyotakiwa udhanie.
 
Kaidondosha mwaka juzi. Siku hizi debit/credit card zimejaa kwanini utembee matako yametuna kwa wallet?
 
Back
Top Bottom