Zawadi yangu 2017 kwa wanawake wa JF, Happynew yr

Ni kweli Ubongo wa Mwanamke umeumbwa tofauti kabisa na sisi wanaume.

Mwanamke anaweza kuwa anaongea na simu huku anatazama TV huku ananyonyesha mtoto au kukaangiza mboga.

Sisi Wanaume tukitaka tukiongea na simu basi tutapunguza sauti ya radio au Tv ndipo tuongee na Simu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1483080025883.jpg
    FB_IMG_1483080025883.jpg
    35.4 KB · Views: 47
Ahsante mkuu! Haya sasa wabishaji karibuni mana hamkosekani ila huo ndio ukweli.
 
Ni muhimu kujua sayansi ya kuongea na mume.Asante kwa somo zuri wengine tunapayukaga tu ili mradi tumeongea
 
Back
Top Bottom