Izzi JF-Expert Member Nov 30, 2016 553 1,133 Dec 30, 2016 #1 Aidha cameraman ana upako sana au wote wana mapepo isipokuwa yeye.
Blank page JF-Expert Member May 28, 2015 5,213 4,328 Dec 30, 2016 #3 hahah...camera man hajaend kusali ndo mana haanguk,so yeye haymo ktka waumin wanaotakiw waanguke...teh!
hahah...camera man hajaend kusali ndo mana haanguk,so yeye haymo ktka waumin wanaotakiw waanguke...teh!
maxime JF-Expert Member Jun 3, 2016 2,231 1,315 Dec 31, 2016 #6 Hata pia mtoto mdogo haanguki... sijui mapepo kwa watu wazima tu.