Wamakonde fulani siku moja walikuwa kwenye roli wakielekea msibani...waliimba nyimbo mpaka zikaisha wakabaki wanaangaliana basi mara mmakonde mmoja akajichoma na msumari akaanza kulia ''MAMAAAA...
Katika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi.. Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie...
Kuna hawa wanaJF walikua wana vituko sana, yaani kipindi cha nyuma kulizuka katabia ukitundika tu nyuzi utaona mtu anakuambia weka picha, hata saa zingine huo uzi hauhitaji picha utaombwa picha...
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza chinchilla coat Ndiyo miss humu jf anayekosha Sana Moyo wangu hasa pale ninapoona post zake.
Kutokana na upendo wangu kuzidi kwake nimejikuta naandika...
Katika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi..
Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie...
Mzee mmoja alinunua Robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao dogo akaulizwa umepata ngapi kwenye mtihani dogo akajibu mia mara Roboti likamchapa kofii Baba akasema mi enzi zangu nlikuwa...
Wadau mliomalizia shule ya sekondari Kigoma tukutane hapa,hasa kwa wale mliosoma hapo kuanzia 1994 hadi 1999.Mnamkumbuka mtaalamu wa kemia Mama Mashaka?Pia mkuu wa shule wakati ule Martin...
Mimi Hamis Abeid (mr amazing) naungana na watanzania wenzangu katika kampeni ya
"PIGA CHINI MICHEPUKO"
ili kulinda heshima ya mahusiano na kupunguza kasi ya maambukizi ya magonjwa.
PIGA CHINI...
It will one day make sense/Nikisema hakuna president kama JK/
Tanzania inakumiss yaani daily/
Kwa niaba ya wabongo I’M SORRY JK/I’m
sorry JK nimeona tu niseme/
Mzuka huu niliupata nikiwa Juu...
Nimeweka hii topic niangalie jinsi wa Tz wanavyokurupuka wakisiki neno UTAJIRI si unaona umesoma fasta.
Pumbaaaaaaaaaaaf!!!!! hakuna utajiri wa haraka chapa kazi.
Sasa nmepata kuelewa kwa nn 50 cent alisema get rich or die trying
Tangu nmekua nmeona visa vingi vya kufanya niione nafasi ya mwenye pesa na asiekua na pesa katika jamii
Mtu yoyote akisema...
Wapendwa wana Jamiiforums
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, naomba unitakie chochote kile unachoona wewe kinaweza kunifariji na kunifurahisha siku yangu muhimu ya leo. Akhsanteni sana na MUNGU...
Wakuu,
Kwa kweli nimetokea kumpenda sana huyu Dada Elizabeth Michael (lulu) na kama nikipata namna ya kuonana nae tukafanya mazungumzo tukielewana naoa kabisaa!
Japo naombeni msaada namna ya...
Enzi za Shule,…
Unatoka chumba cha mtihani wa hesabu na unakuta magwiji wa namba wanabishana. Mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema ni -3 wakati wewe umepata jibu 41,987.
Hapo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.