Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,410
- 1,894
Mzee mmoja alinunua Robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao dogo akaulizwa umepata ngapi kwenye mtihani dogo akajibu mia mara Roboti likamchapa kofii Baba akasema mi enzi zangu nlikuwa nakuwa wa kwanza mara nae kofii dogo akaanza kucheka mama akasema we unacheka nini unajua huyo ni baba yako mara nae kofii