Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,874
- 3,305
Kama kuna mtu ana shida na hela naomba aje kuchukua, mie nipo hapa kwenye ATM hakuna foleni kabisa Asante!
Hujamwelewa, anataka ukachukue hela ATM na sio yeye akupeYaelekea wewe ni Dr. wa hela!!!
Wengi hawatakuelewaKama kuna mtu ana shida na hela naomba aje kuchukua, mie nipo hapa kwenye ATM hakuna foleni kabisa Asante!
Shida ya hela ninayo na kwenye ATM sina, nitaendaje kuchukua!Hujamwelewa, anataka ukachukue hela ATM na sio yeye akupe
Hapo sasaShida ya hela ninayo na kwenye ATM sina, nitaendaje kuchukua!