Ntaka kufungua duka la Wines and Spirits.

Kama kichwa kinavyosema hapo juu.
Naombeni mnitajie list ya Wines and Spirits mnazozifahamu.
Shukrani sana..
Kama uko Dar tembelea Mohans au MMI au huko ulipo ongea na wauzaji watakwambia au ongea na wenye Bar kubwa.
 
Kama uko Dar tembelea Mohans au MMI au huko ulipo ongea na wauzaji watakwambia au ongea na wenye Bar kubwa.
Thanks mkuu. Ila naongea nao nini hasa? Au wanauza kwa jumla?
 
Ilikushinda kwanini?
, ilikuwa ya joint sasa baadae tukaamua kugawana tu maana kila mtu alikuwa anataka kuendelea na mambo yake wengine kwenda kusoma ,nk , unaweza kujaribu ni biashara nzuri tu mkuu ukipata sehemu inayoeleweka
 
upload_2017-1-17_17-54-39.jpeg

brandybrands.jpg



top10-cognac-2011.jpg
 
Back
Top Bottom